Leviticus 19:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Unapotoa hukumu uamue kwa haki; usimpendelee maskini wala kumwogopa mwenye cheo. Bali ni lazima kumwamua jirani kwa haki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Usipotoshe haki; usioneshe kumpendelea maskini, wala upendeleo kwa mwenye cheo, bali mwamulie jirani yako kwa haki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Msitende yasiyo haki katika hukumu, usimpendelee mtu maskini, wala kumstahi mwenye nguvu; bali utamhukumu jirani yako kwa haki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Unapotoa hukumu uamue kwa haki; usimpendelee maskini wala kumwogopa mwenye cheo. Bali ni lazima kumwamua jirani kwa haki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Usipotoshe haki; usionyeshe kumpendelea maskini wala upendeleo kwa mwenye cheo, bali mwamulie jirani yako kwa haki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Usipotoshe haki; usionyeshe kumpendelea maskini, wala upendeleo kwa mwenye cheo, bali mwamulie jirani yako kwa haki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Msitende yasiyo haki katika hukumu, usimpendelee mtu maskini, wala kumstahi mwenye nguvu; bali utamhukumu jirani yako kwa haki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Unapotoa hukumu uamue kwa haki; usimpendelee maskini wala kumwogopa mwenye cheo. Bali ni lazima kumwamua jirani kwa haki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Msifanye mapotovu mashaurini mkiupendelea uso wa mkiwa au mkimtukuza mkuu, ila umwamulie mwenzako kwa wongofu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Msitende yasiyo haki katika hukumu, usimpendelee mtu maskini, wala kumstahi mwenye nguvu; bali utamhukumu jirani yako kwa haki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unapotoa hukumu uamue kwa haki, usimupendelee masikini wala kumwogopa mwenye cheo. Lakini hukumu mwenzako kwa haki.