Leviticus 19:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Iambie jumuiya yote ya watu wa Israeli hivi: Ni lazima muwe watakatifu kwani mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ni mtakatifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Sema na kusanyiko lote la Waisraeli, uwaambie: ‘Kuweni watakatifu, kwa kuwa mimi, Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, ni mtakatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nena na mkutano wote wa wana wa Israeli, uwaambie, Mtakuwa watakatifu; kwa kuwa mimi Bwana, Mungu wenu, ni mtakatifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Iambie jumuiya yote ya watu wa Israeli hivi: Ni lazima muwe watakatifu kwani mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ni mtakatifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Sema na kusanyiko lote la Israeli na uwaambie: ‘Iweni watakatifu kwa sababu Mimi, BWANA Mungu wenu, ni mtakatifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Sema na kusanyiko lote la Israeli na uwaambie: ‘Kuweni watakatifu, kwa kuwa mimi, bwana Mwenyezi Mungu wenu, ni mtakatifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nena na mkutano wote wa wana wa Israeli, uwaambie, Mtakuwa watakatifu; kwa kuwa mimi BWANA, Mungu wenu, ni mtakatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Iambie jumuiya yote ya watu wa Israeli hivi: Ni lazima muwe watakatifu kwani mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ni mtakatifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sema na mkutano wote wa wana wa Isiraeli, uwaambie: Sharti mwe watakatifu, kwani mimi Bwana Mungu wenu ni mtakatifu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nena na mkutano wote wa wana wa Israeli, uwaambie, Mtakuwa watakatifu; kwa kuwa mimi BWANA, Mungu wenu, ni mtakatifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uwaambie Waisraeli wote pamoja hivi: Mukuwe watakatifu maana mimi Yawe, Mungu wenu, ni mutakatifu.