Leviticus 19:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Msile nyama yoyote yenye damu. Msipige bao wala kufanya uchawi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Msile nyama yoyote yenye damu ndani yake. “ ‘Msifanye uaguzi wala uchawi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Msile kitu cho chote pamoja na damu yake; wala msifanye kuloga, wala kutumia utambuzi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Msile nyama yoyote yenye damu. Msipige bao wala kufanya uchawi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Msile nyama yo yote yenye damu ndani yake. “ ‘Msifanye uaguzi wala uchawi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Msile nyama yoyote yenye damu ndani yake. “ ‘Msifanye uaguzi wala uchawi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Msile kitu chochote pamoja na damu yake; wala msifanye kuloga, wala kutumia utambuzi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Msile nyama yoyote yenye damu. Msipige bao wala kufanya uchawi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Msile cho chote kilicho chenye damu bado. Msipige bao, wala msiagulie mawingu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Msile kitu cho chote pamoja na damu yake; wala msifanye kuloga, wala kutumia utambuzi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musikule nyama yoyote pamoja na damu. Musifanye ulozi wala kuaguza.