Leviticus 19:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Usimchafue binti yako kwa kumfanya kahaba, nchi nzima isije ikaangukia katika ukahaba na hivyo kujaa uovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Usimdhalilishe binti yako kwa kumfanya kahaba, la sivyo nchi itageukia ukahaba na kujaa uovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usimnajisi binti yako, ili kumfanya awe kahaba; isiwe hiyo nchi kuuandama ukahaba, na nchi kujawa na uovu mkuu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Usimchafue binti yako kwa kumfanya kahaba, nchi nzima isije ikaangukia katika ukahaba na hivyo kujaa uovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Usimdhalilishe binti yako kwa kumfanya kahaba, la sivyo nchi itageukia ukahaba na kujaa uovu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Usimdhalilishe binti yako kwa kumfanya kahaba, la sivyo nchi itageukia ukahaba na kujaa uovu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usimnajisi binti yako, ili kumfanya awe kahaba; isiwe hiyo nchi kuuandama ukahaba, na nchi kujawa na uovu mkuu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Usimchafue binti yako kwa kumfanya kahaba, nchi nzima isije ikaangukia katika ukahaba na hivyo kujaa uovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwanao wa kike usimtie uchafu na kumzinisha, hiyo nchi isipate kuwa yenye uzinzi, hiyo nchi ikijaa ugoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usimnajisi binti yako, ili kumfanya awe kahaba; isiwe hiyo nchi kuuandama ukahaba, na nchi kujawa na uovu mkuu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usimuchafue binti yako kwa kumufanya kahaba, inchi nzima isipate kuangukia katika ukahaba na hivyo kujaa uovu.