Leviticus 19:37 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ni lazima kuyashika na kuyatekeleza masharti yangu na maagizo yangu. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Shika amri zangu zote na sheria zangu zote, nawe uzifuate. Mimi ndimi Mwenyezi Mungu.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Zishikeni sheria zangu, na hukumu zangu, na kuzitenda. Mimi ndimi Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ni lazima kuyashika na kuyatekeleza masharti yangu na maagizo yangu. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Shika amri zangu zote na sheria zangu zote, nawe uzifuate. Mimi ndimi BWANA.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Shika amri zangu zote na sheria zangu zote, nawe uzifuate. Mimi ndimi bwana.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Zishikeni sheria zangu, na hukumu zangu, na kuzitenda. Mimi ndimi BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ni lazima kuyashika na kuyatekeleza masharti yangu na maagizo yangu. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yaangalieni maongozi yangu yote na maamuzi yangu, myafanye! Mimi ni Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Zishikeni sheria zangu, na hukumu zangu, na kuzitenda. Mimi ndimi BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Munapaswa kushika na kutimiza masharti yangu na maagizo yangu. Mimi ni Yawe.