Leviticus 19:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
naye atakayekula nyama hiyo ni lazima awajibike kwa uovu wake kwa sababu amekitia unajisi kitu kitakatifu cha Mwenyezi-Mungu. Mtu huyo atatengwa na watu wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeyote atakayekula atawajibishwa, kwa sababu amenajisi kitu kilicho kitakatifu kwa Mwenyezi Mungu; mtu huyo lazima akatiliwe mbali na watu wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini kila mtu atakayekula atauchukua uovu wake mwenyewe, kwa sababu amekinajisi kitu hicho kitakatifu cha Bwana; na nafsi hiyo itakatiliwa mbali na watu wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
naye atakayekula nyama hiyo ni lazima awajibike kwa uovu wake kwa sababu amekitia unajisi kitu kitakatifu cha Mwenyezi-Mungu. Mtu huyo atatengwa na watu wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ye yote atakayekula atawajibishwa, kwa sababu amenajisi kitu kilicho kitakatifu kwa BWANA; mtu huyo lazima akatiliwe mbali na watu wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeyote atakayekula atawajibishwa, kwa sababu amenajisi kitu kilicho kitakatifu kwa bwana; mtu huyo lazima akatiliwe mbali na watu wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini kila mtu atakayekula atalipizwa uovu wake mwenyewe, kwa sababu amekinajisi kitu hicho kitakatifu cha BWANA; na mtu huyo atatengwa na watu wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
naye atakayekula nyama hiyo ni lazima awajibike kwa uovu wake kwa sababu amekitia unajisi kitu kitakatifu cha Mwenyezi-Mungu. Mtu huyo atatengwa na watu wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye atakayeila atakuwa amekora manza, kwa kuwa ameichafua iliyo takatifu ya Bwana, kwa hiyo yeye mwenyewe atang'olewa kwao walio ukoo wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini kila mtu atakayekula atauchukua uovu wake mwenyewe, kwa sababu amekinajisi kitu hicho kitakatifu cha BWANA; na nafsi hiyo itakatiliwa mbali na watu wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye atakayekula nyama hiyo anapaswa kubeba lazima ya uovu wake kwa sababu amechafua kitu kitakatifu cha Yawe. Mutu huyo atatengwa na watu wake.