Leviticus 2:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mtu yeyote akileta sadaka ya nafaka kwa Mwenyezi-Mungu, sadaka hiyo iwe ya unga laini. Atautia mafuta na ubani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Mtu yeyote aletapo sadaka ya nafaka kwa Mwenyezi Mungu, sadaka yake itakuwa ya unga laini. Atamimina mafuta juu yake, aweke uvumba juu yake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mtu atakapomtolea Bwana matoleo ya sadaka ya unga, matoleo yake yatakuwa ya unga mwembamba; naye ataumiminia mafuta, na kutia na ubani juu yake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mtu yeyote akileta sadaka ya nafaka kwa Mwenyezi-Mungu, sadaka hiyo iwe ya unga laini. Atautia mafuta na ubani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Mtu ye yote aletapo sadaka ya nafaka kwa BWANA, sadaka yake itakuwa ya unga laini. Atamimina mafuta juu yake, aweke uvumba juu yake
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Mtu yeyote aletapo sadaka ya nafaka kwa bwana, sadaka yake itakuwa ya unga laini. Atamimina mafuta juu yake, aweke uvumba juu yake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mtu atakapomtolea BWANA matoleo ya sadaka ya unga, matoleo yake yatakuwa ya unga mwembamba; naye ataumiminia mafuta, na kutia na ubani juu yake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mtu yeyote akileta sadaka ya nafaka kwa Mwenyezi-Mungu, sadaka hiyo iwe ya unga laini. Atautia mafuta na ubani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu akimpelekea Bwana toleo la vilaji vya tambiko sharti hilo toleo lake liwe unga mwembamba sana, alioumiminia mafuta na kuweka uvumba juu yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mtu atakapomtolea BWANA matoleo ya sadaka ya unga, matoleo yake yatakuwa ya unga mwembamba; naye ataumiminia mafuta, na kutia na ubani juu yake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu yeyote akileta sadaka ya ngano kwa Yawe, sadaka hiyo ikuwe ya unga laini. Atautia mafuta na ubani.