Leviticus 2:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Ukimtolea Mwenyezi-Mungu sadaka ya mazao yako ya kwanza utaitoa hiyo ikiwa imechomwa katika masuke yake, au utaitoa katika mikate ya kuokwa iliyotengenezwa kwa ngano iliyosagwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Ukileta malimbuko ya sadaka ya nafaka kwa Mwenyezi Mungu, utatoa masuke yaliyopondwa ya nafaka mpya iliyookwa kwa moto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe kwamba wamtolea Bwana sadaka ya unga ya malimbuko, utatoa hiyo ngano katika masuke yake iliyochomwa motoni, ngano iliyopondwa ya masuke mabichi, ndiyo utakayoleta kuwa sadaka ya unga ya malimbuko yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ukimtolea Mwenyezi-Mungu sadaka ya mazao yako ya kwanza utaitoa hiyo ikiwa imechomwa katika masuke yake, au utaitoa katika mikate ya kuokwa iliyotengenezwa kwa ngano iliyosagwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Kama ukileta malimbuko ya sadaka ya nafaka kwa BWANA, utatoa masuke yaliyopondwa ya nafaka mpya iliyookwa kwa moto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Kama ukileta malimbuko ya sadaka ya nafaka kwa bwana, utatoa masuke yaliyopondwa ya nafaka mpya iliyookwa kwa moto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe kwamba wamtolea BWANA sadaka ya unga ya malimbuko, utatoa hiyo ngano katika masuke yake iliyochomwa motoni, ngano iliyopondwa ya masuke mabichi, ndiyo utakayoleta kuwa sadaka ya unga ya malimbuko yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ukimtolea Mwenyezi-Mungu sadaka ya mazao yako ya kwanza utaitoa hiyo ikiwa imechomwa katika masuke yake, au utaitoa katika mikate ya kuokwa iliyotengenezwa kwa ngano iliyosagwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini ukimtolea Bwana vilaji vya tambiko vya malimbuko, yawe masuke yaliyochomwa moto au chenga za ngano mpya, basi, hayo utayatoa kuwa vilaji vya tambiko vya malimbuko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe kwamba wamtolea BWANA sadaka ya unga ya malimbuko, utatoa hiyo ngano katika masuke yake iliyochomwa motoni, ngano iliyopondwa ya masuke mabichi, ndiyo utakayoleta kuwa sadaka ya unga ya malimbuko yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ukimutolea Yawe sadaka ya mazao yako ya kwanza utaitoa hiyo ikiwa imechomwa katika masuke yake, au utaitoa katika mikate ya kuchomwa iliyotengenezwa kwa ngano iliyosagwa.