Leviticus 2:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utaleta sadaka ya nafaka iliyotengenezwa kwa vitu hivyo mbele ya Mwenyezi-Mungu; na kuhani ataipeleka kwenye madhabahu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ilete hiyo sadaka ya nafaka iliyotengenezwa kwa vitu hivi kwa Mwenyezi Mungu; mkabidhi kuhani, ambaye ataipeleka madhabahuni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe utamletea Bwana sadaka ya unga iliyofanywa ya vitu hivyo; nayo italetwa kwa kuhani, naye ndiye atakayeisongeza madhabahuni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utaleta sadaka ya nafaka iliyotengenezwa kwa vitu hivyo mbele ya Mwenyezi-Mungu; na kuhani ataipeleka kwenye madhabahu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ilete hiyo sadaka ya nafaka iliyotengenezwa kwa vitu hivi kwa BWANA; mkabidhi kuhani ambaye ataipeleka madhabahuni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ilete hiyo sadaka ya nafaka iliyotengenezwa kwa vitu hivi kwa bwana; mkabidhi kuhani ambaye ataipeleka madhabahuni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe utamletea BWANA sadaka ya unga iliyofanywa ya vitu hivyo; nayo italetwa kwa kuhani, naye ndiye atakayeisongeza madhabahuni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utaleta sadaka ya nafaka iliyotengenezwa kwa vitu hivyo mbele ya Mwenyezi-Mungu; na kuhani ataipeleka kwenye madhabahu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukitaka kumtolea Bwana vilaji vya tambiko vilivyotengenezwa hivyo, uvipeleke kwa mtambikaji, naye ataviweka mezani pa kutambikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe utamletea BWANA sadaka ya unga iliyofanywa ya vitu hivyo; nayo italetwa kwa kuhani, naye ndiye atakayeisongeza madhabahuni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utaleta sadaka ya ngano iliyotengenezwa kwa vitu hivyo mbele ya Yawe na kuhani ataipeleka kwenye mazabahu.