Leviticus 20:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kama mwanamume akizini na mke wa jirani yake, ni lazima wote wawili wauawe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Ikiwa mtu atazini na mke wa mtu mwingine, yaani mke wa jirani yake, wazinzi hao wawili lazima wauawe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mtu aziniye na mke wa mtu mwingine, naam, yeye aziniye na mke wa jirani yake, mtu mume aziniye, na mwanamke aziniye, hakika watauawa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kama mwanamume akizini na mke wa jirani yake, ni lazima wote wawili wauawe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Ikiwa mtu atazini na mke wa mtu mwingine, yaani mke wa jirani yake, wazinzi hao wawili lazima wauawe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Ikiwa mtu atazini na mke wa mtu mwingine, yaani mke wa jirani yake, wazinzi hao wawili lazima wauawe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mtu aziniye na mke wa mtu mwingine, yeye aziniye na mke wa jirani yake, mwanamume aziniye, na mwanamke aziniye, hakika watauawa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kama mwanamume akizini na mke wa jirani yake, ni lazima wote wawili wauawe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu akizini na mke wa mwingine, basi, yeye aliyezini na mke wa mwenzake sharti auawe, mwenyewe pamoja na mwanamke, aliyezini naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mtu aziniye na mke wa mtu mwingine, naam, yeye aziniye na mke wa jirani yake, mtu mume aziniye, na mwanamke aziniye, hakika watauawa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama mwanaume akifanya uzinzi na muke wa mwenzake, wote wawili wanapaswa kuuawa.