Leviticus 20:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama mwanamume yeyote akilala na mnyama ni lazima auawe; na mnyama huyo lazima auawe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Kama mwanaume akikutana kimwili na mnyama, ni lazima auawe, na pia ni lazima mnyama huyo auawe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena mtu mume akilala na mnyama, hakika atauawa; nanyi mtamwua huyo mnyama.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama mwanamume yeyote akilala na mnyama ni lazima auawe; na mnyama huyo lazima auawe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Kama mwanaume akikutana kimwili na mnyama, ni lazima auawe, na pia ni lazima mnyama huyo auawe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Kama mwanaume akikutana kimwili na mnyama, ni lazima auawe, na pia ni lazima mnyama huyo auawe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena mwanamume akilala na mnyama, hakika atauawa; nanyi mtamwua huyo mnyama.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama mwanamume yeyote akilala na mnyama ni lazima auawe; na mnyama huyo lazima auawe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu akilala na nyama sharti auawe, hata huyo nyama sharti mmwue.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena mtu mume akilala na mnyama, hakika atauawa; nanyi mtamwua huyo mnyama.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama mwanaume yeyote akilala na nyama anapaswa kuuawa na nyama huyo anapaswa kuuawa.