Leviticus 20:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama mwanamke akimkaribia mnyama na kulala naye ni lazima mwanamke huyo auawe na mnyama huyo pia; damu yao itakuwa juu yao wenyewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Kama mwanamke atamsogelea mnyama kukutana naye kimwili, muueni mwanamke huyo pamoja na mnyama pia. Lazima wauawe; damu yao itakuwa juu ya vichwa vyao wenyewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena mwanamke akimkaribia mnyama ye yote, na kulala pamoja naye, mtamwua huyo mwanamke, na mnyama pia; hakika watauawa; damu yao itakuwa ni juu yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama mwanamke akimkaribia mnyama na kulala naye ni lazima mwanamke huyo auawe na mnyama huyo pia; damu yao itakuwa juu yao wenyewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Kama mwanamke atamsogelea mnyama kukutana naye kimwili, mwueni mwanamke huyo pamoja na mnyama pia. Lazima wauawe; damu yao itakuwa juu ya vichwa vyao wenyewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Kama mwanamke atamsogelea mnyama kukutana naye kimwili, muueni mwanamke huyo pamoja na mnyama pia. Lazima wauawe; damu yao itakuwa juu ya vichwa vyao wenyewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena mwanamke akimwendea mnyama yeyote, na kulala pamoja naye, mtamwua huyo mwanamke, na mnyama pia; hakika watauawa; damu yao itakuwa ni juu yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama mwanamke akimkaribia mnyama na kulala naye ni lazima mwanamke huyo auawe na mnyama huyo pia; damu yao itakuwa juu yao wenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwanamke akimkaribia nyama ye yote kulala naye, sharti mmwue huyo mwanamke pamoja na huyo nyama, wafe kabisa, maana wamekora manza za kumwagwa damu zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena mwanamke akimkaribia mnyama ye yote, na kulala pamoja naye, mtamwua huyo mwanamke, na mnyama pia; hakika watauawa; damu yao itakuwa ni juu yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama mwanamuke anakaribia nyama na kulala naye, mwanamuke huyo anapaswa kuuawa na nyama huyo vilevile na damu yao itakuwa juu yao wenyewe.