Leviticus 20:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama wananchi wa mahali hapo hawatamwadhibu mtu huyo kwa kumuua,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ikiwa watu wa jumuiya watafumba macho yao wakati mtu huyo anapomtoa kafara mmoja wa watoto wake kwa Moleki, nao wakaacha kumuua,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena kama wenyeji wa nchi wakimfumbia macho mtu huyo kwa njia yo yote, hapo atoapo katika kizazi chake na kumpa Moleki, wasimwue;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama wananchi wa mahali hapo hawatamwadhibu mtu huyo kwa kumuua,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ikiwa watu wa jumuiya watafumba macho wakati mtu huyo anapomtoa mmoja wa watoto wake kwa mungu Moleki, nao wakaacha kumwua,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ikiwa watu wa jumuiya watafumba macho wakati mtu huyo anapomtoa mmoja wa watoto wake kwa mungu Moleki, nao wakaacha kumuua,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena kama wenyeji wa nchi wakimfumbia macho mtu huyo kwa njia yoyote, hapo atoapo katika kizazi chake na kumpa Moleki, wasimwue;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama wananchi wa mahali hapo hawatamwadhibu mtu huyo kwa kumuua,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ijapo watu wa nchi hiyo wayapofushe macho yao, wakiyaona, mtu yule aliyoyafanya alipotoa mtu miongoni mwao walio wa uzao wake na kumpa Moloki, wasipate kumwua,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena kama wenyeji wa nchi wakimfumbia macho mtu huyo kwa njia yo yote, hapo atoapo katika kizazi chake na kumpa Moleki, wasimwue;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama wanainchi wa pahali pale hawatamwazibu mutu yule kwa kumwua,