Leviticus 20:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shikeni masharti yangu na kuyatekeleza. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu ninayewatakasa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Shikeni amri zangu na kuzifuata. Mimi ndimi Mwenyezi Mungu, niwafanyaye ninyi watakatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nanyi zishikeni sheria zangu, na kuzitenda; Mimi ndimi Bwana niwatakasaye ninyi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shikeni masharti yangu na kuyatekeleza. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu ninayewatakasa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Shikeni amri zangu na kuzifuata. Mimi ndimi BWANA, niwafanyaye ninyi watakatifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Shikeni amri zangu na kuzifuata. Mimi ndimi bwana, niwafanyaye ninyi watakatifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nanyi zishikeni sheria zangu, na kuzitenda; Mimi ndimi BWANA niwatakasaye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shikeni masharti yangu na kuyatekeleza. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu ninayewatakasa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yaangalieni maongozi yangu, myafanye! Mimi ni Bwana anayewatakasa ninyi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nanyi zishikeni sheria zangu, na kuzitenda; Mimi ndimi BWANA niwatakasaye ninyi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mushike masharti yangu na kuyatimiza. Mimi ni Yawe ninayewatakasa.