Leviticus 21:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Asikaribie maiti wala kujitia unajisi kwa maiti hata kama ni ya baba yake au ya mama yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kamwe asiingie mahali palipo maiti ndani. Kamwe asijitie unajisi, hata kwa ajili ya baba yake au mama yake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wala hataingia penye maiti, wala asijitie unajisi kwa ajili ya baba yake wala mama yake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Asikaribie maiti wala kujitia unajisi kwa maiti hata kama ni ya baba yake au ya mama yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kamwe asiingie ndani mahali penye maiti. Kamwe asijitie unajisi, hata kwa ajili ya baba yake au mama yake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kamwe asiingie mahali palipo maiti ndani. Kamwe asijitie unajisi, hata kwa ajili ya baba yake au mama yake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wala hataingia penye maiti, wala asijitie unajisi kwa ajili ya baba yake wala mama yake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Asikaribie maiti wala kujitia unajisi kwa maiti hata kama ni ya baba yake au ya mama yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wala asiingie mo mote mwenye mfu ye yote, asijipatie uchafu, wala kwa baba yake wala kwa mama yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wala hataingia penye maiti, wala asijitie unajisi kwa ajili ya baba yake wala mama yake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Asikaribie maiti wala kujichafua kwa maiti hata kama ni ya baba yake au ya mama yake.