Leviticus 21:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuhani mkuu aweza tu kumwoa msichana ambaye ni bikira.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Mwanamke atakayeolewa na kuhani lazima awe bikira.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye atamwoa mwanamke katika ubikira wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuhani mkuu aweza tu kumwoa msichana ambaye ni bikira.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Mwanamke atakayemwoa ni lazima awe bikira.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Mwanamke kuhani atakayemwoa lazima awe bikira.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye atamwoa mwanamke katika ubikira wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuhani mkuu aweza tu kumwoa msichana ambaye ni bikira.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye mwanamke, atakayemchukua, sharti awe mwanamwali.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye atamwoa mwanamke katika ubikira wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuhani Mukubwa anaweza tu kumwoa binti ambaye ni bikira.