Leviticus 21:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
asije akawatia unajisi watoto wake mwenyewe. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu niliyemweka wakfu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na hivyo hatawatia unajisi wazao wake miongoni mwa watu wake. Mimi ndimi Mwenyezi Mungu, nimfanyaye mtakatifu.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye asiwatie unajisi kizazi chake katika watu wake; kwa kuwa mimi ndimi Bwana nimtakasaye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
asije akawatia unajisi watoto wake mwenyewe. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu niliyemweka wakfu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
hivyo hatawatia unajisi watoto wake miongoni mwa watu wake. Mimi ndimi BWANA, nimfanyaye mtakatifu.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na hivyo hatawatia unajisi watoto wake miongoni mwa watu wake. Mimi ndimi bwana, nimfanyaye mtakatifu.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye asiwatie unajisi wazawa wake katika watu wake; kwa kuwa mimi ndimi BWANA nimtakasaye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
asije akawatia unajisi watoto wake mwenyewe. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu niliyemweka wakfu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ni kwamba: asiwatie uchafu walio wa uzao wake kwao walio ukoo wake, kwani mimi Bwana ndiye aliyemtakasa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye asiwatie unajisi kizazi chake katika watu wake; kwa kuwa mimi ndimi BWANA nimtakasaye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kusudi asichafue watoto wake mwenyewe. Mimi ni Yawe niliyemutakasa.