Leviticus 21:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mwambie Aroni hivi: Mzawa wako yeyote katika vizazi vyote vijavyo ambaye ana dosari mwilini, haruhusiwi kukaribia na kunitolea mimi Mungu wake sadaka ya mkate.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mwambie Haruni: ‘Kwa vizazi vijavyo, hakuna mzao wako mwenye dosari atakayekaribia kutoa chakula cha Mungu wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nena na Haruni, umwambie, Mtu awaye yote wa kizazi chako wewe katika vizazi vyao, aliye na kilema, asikaribie kusongeza chakula cha Mungu wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mwambie Aroni hivi: Mzawa wako yeyote katika vizazi vyote vijavyo ambaye ana dosari mwilini, haruhusiwi kukaribia na kunitolea mimi Mungu wake sadaka ya mkate.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mwambie Aroni: ‘Kwa vizazi vijavyo hakuna mzao wako mwenye dosari atakayekaribia kutoa chakula cha Mungu wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mwambie Haruni: ‘Kwa vizazi vijavyo, hakuna mzao wako mwenye dosari atakayekaribia kutoa chakula cha Mungu wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nena na Haruni, umwambie, Mtu yeyote wa vizazi vyenu vyote aliye na kilema asikaribie kutoa chakula cha Mungu wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mwambie Aroni hivi: Mzawa wako yeyote katika vizazi vyote vijavyo ambaye ana dosari mwilini, haruhusiwi kukaribia na kunitolea mimi Mungu wake sadaka ya mkate.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwambie Haroni kwamba: Mtu aliye wa vizazi vitakavyozaliwa nao walio wa uzao wako, kama ni mwenye kilema, asije kumtolea Mungu wake chakula chake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nena na Haruni, umwambie, Mtu awaye yote wa kizazi chako wewe katika vizazi vyao, aliye na kilema, asikaribie kusongeza chakula cha Mungu wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umwambie Haruni hivi: Muzao wako yeyote katika vizazi vyote vinavyokuja ambaye ana kilema juu ya mwili, haruhusiwi kukaribia na kunitolea mimi Mungu wake sadaka ya mukate.