Leviticus 21:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu yeyote mwenye dosari sikaribie kunitolea sadaka: Awe kipofu, aliyelemaa, aliyeharibika uso, mwenye kiungo kirefu kuliko kawaida,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakuna mtu mwenye dosari yoyote awezaye kukaribia: hakuna mtu aliye kipofu au kiwete, au aliyeharibika uso au asiye na viungo kamili,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa mtu awaye yote aliye na kilema hatakaribia; mtu kipofu, au kiwete, au mtu aliye na pua iliyoharibika, au aliye na kitu kilichozidi vimpasavyo mwili,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu yeyote mwenye dosari sikaribie kunitolea sadaka: awe kipofu, aliyelemaa, aliyeharibika uso, mwenye kiungo kirefu kuliko kawaida,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakuna mtu mwenye dosari yo yote awezaye kukaribia: hakuna mtu aliye kipofu au kiwete, au aliyeharibika uso au asiye na viungo kamili,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakuna mtu mwenye dosari yoyote awezaye kukaribia: hakuna mtu aliye kipofu au kiwete, au aliyeharibika uso au asiye na viungo kamili,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa mtu aliye na kasoro ya kimwili hatakaribia, asiyeona, aliyelemaa mguu au mtu aliyejeruhika uso, au kiungo kilichozidi kiupasavyo mwili,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu yeyote mwenye dosari sikaribie kunitolea sadaka: Awe kipofu, aliyelemaa, aliyeharibika uso, mwenye kiungo kirefu kuliko kawaida,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kila mtu mwenye kilema asinikaribie, kama ni kipofu au kiwete au mwenye pua mbaya au mwenye kiungo kilicho kirefu zaidi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa mtu awaye yote aliye na kilema hatakaribia; mtu kipofu, au kiwete, au mtu aliye na pua iliyoharibika, au aliye na kitu kilichozidi vimpasavyo mwili,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu yeyote anayekuwa na kilema, kipofu, aliyelemaa, mwenye uso uliokatwakatwa, mwenye kiungo kirefu kuliko kawaida,