Leviticus 21:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
isipokuwa kama ni maiti ya ndugu yake wa karibu, yaani mama yake, baba yake, mwanawe, binti yake, ndugu yake
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
isipokuwa jamaa wake wa karibu, kama vile mama yake au baba yake, mwanawe au binti yake, ndugu yake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
isipokuwa ni kwa ajili ya jamaa yake wa karibu, kwa ajili ya mama yake, na kwa ajili baba yake, na kwa ajili ya mwanawe, na kwa ajili ya binti yake, na kwa ajili ya nduguye mwanamume;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
isipokuwa kama ni maiti ya ndugu yake wa karibu, yaani mama yake, baba yake, mwanawe, binti yake, ndugu yake
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
isipokuwa maiti ya jamaa yake wa karibu, kama vile mama yake au baba yake, mwanawe au binti yake, ndugu yake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
isipokuwa jamaa wake wa karibu, kama vile mama yake au baba yake, mwanawe au binti yake, ndugu yake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
isipokuwa ni kwa ajili ya jamaa yake wa karibu, kwa ajili ya mama yake, na kwa ajili baba yake, na kwa ajili ya mwanawe, na kwa ajili ya binti yake, na kwa ajili ya nduguye mwanamume;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
isipokuwa kama ni maiti ya ndugu yake wa karibu, yaani mama yake, baba yake, mwanawe, binti yake, ndugu yake
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ila kwao tu walio ndugu zake wa kuzaliwa nao, maana ndio walio kwake karibu: mama yake na baba yake na mwanawe wa kiume na wa kike na mkubwa au mdogo wake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
isipokuwa ni kwa ajili ya jamaa yake wa karibu, kwa ajili ya mama yake, na kwa ajili baba yake, na kwa ajili ya mwanawe, na kwa ajili ya binti yake, na kwa ajili ya nduguye mwanamume;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
isipokuwa kama ni maiti ya ndugu yake wa karibu, ni kusema mama yake, baba yake, mwana wake, binti yake, ndugu yake