Leviticus 21:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu huyo anaweza kula mkate wa Mungu wake, vitu vitakatifu na vile vitakatifu kabisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Anaweza kula chakula kitakatifu sana cha Mungu wake, pia hata chakula kitakatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Atakula chakula cha Mungu wake, katika hicho kilicho kitakatifu sana, na hicho kilicho kitakatifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu huyo anaweza kula mkate wa Mungu wake, vitu vitakatifu na vile vitakatifu kabisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Anaweza kula chakula kitakatifu sana cha Mungu wake, pia hata chakula kitakatifu;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Anaweza kula chakula kitakatifu sana cha Mungu wake, pia hata chakula kitakatifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Atakula chakula cha Mungu wake, katika hicho kilicho kitakatifu sana, na hicho kilicho kitakatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu huyo anaweza kula mkate wa Mungu wake, vitu vitakatifu na vile vitakatifu kabisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini kula ataweza kula chakula cha Mungu wake kilicho kitakatifu chenyewe nacho kilicho kitakatifu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Atakula chakula cha Mungu wake, katika hicho kilicho kitakatifu sana, na hicho kilicho kitakatifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu huyo anaweza kula mukate wa Mungu wake, vitu vitakatifu na vile vitakatifu kabisa.