Leviticus 21:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose akamweleza Aroni na wanawe na Waisraeli wote mambo hayo yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Musa akanena na Haruni, na wanawe, na Waisraeli wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Musa akanena na Haruni na wanawe, na wana wa Israeli wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose akamweleza Aroni na wanawe na Waisraeli wote mambo hayo yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Mose akamwambia Aroni jambo hili na wanawe pamoja na Waisraeli wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Musa akamwambia Haruni jambo hili na wanawe, pamoja na Waisraeli wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Musa akanena na Haruni na wanawe, na wana wa Israeli wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose akamweleza Aroni na wanawe na Waisraeli wote mambo hayo yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo maneno haya Mose akamwambia Haroni na wanawe na watu wote wa Isiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Musa akanena na Haruni na wanawe, na wana wa Israeli wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa akamwelezea Haruni na wana wake na Waisraeli wote mambo hayo yote.