Leviticus 21:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
au dada yake ambaye (aliye wa jamaa yake ya karibu), naye hajaolewa bado.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
au dada yake asiyeolewa ambaye anamtegemea kwa kuwa hana mume, kwa ajili ya hao aweza kujitia unajisi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kwa ajili ya umbu lake aliye mwanamwali, aliye wa udugu kwake, ambaye hajaolewa na mume; ana ruhusa kujitia unajisi kwa ajili yake huyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
au dada yake ambaye (aliye wa jamaa yake ya karibu), naye hajaolewa bado.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
au dada yake asiyeolewa ambaye anamtegemea kwa kuwa hana mume, kwa ajili ya hao aweza kugusa maiti na kujitia unajisi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
au dada yake asiyeolewa ambaye anamtegemea kwa kuwa hana mume, kwa ajili ya hao aweza kujitia unajisi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na kwa ajili ya dada yake aliye mwanamwali, aliye wa udugu kwake, ambaye hajaolewa na mwanamume; ana ruhusa kujitia unajisi kwa ajili yake huyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
au dada yake ambaye (aliye wa jamaa yake ya karibu), naye hajaolewa bado.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
hata umbu lake aliyezaliwa naye akiwa ni mwanamwali bado, asipokuwa bado na mwanamume, basi, hata kwake ataweza kujipatia uchafu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kwa ajili ya umbu lake aliye mwanamwali, aliye wa udugu kwake, ambaye hajaolewa na mume; ana ruhusa kujitia unajisi kwa ajili yake huyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
au dada yake ambaye (aliyekuwa wa jamaa yake ya karibu), naye hajaolewa bado.