Leviticus 21:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wazawa wa Aroni kamwe wasijinyoe upara kuomboleza wala wasikate pembe za ndevu zao wala kujichanja chale mwilini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Kamwe makuhani wasinyoe nywele za vichwa vyao wala wasinyoe pembeni mwa ndevu zao, au kuweka chale kwenye miili yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wasijifanyie upaa kichwani, wala wasinyoe pembe za ndevu zao, wala wasichanje chale katika miili yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wazawa wa Aroni kamwe wasijinyoe upara kuomboleza wala wasikate pembe za ndevu zao wala kujichanja chale mwilini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Kamwe makuhani wasinyoe nywele za vichwa vyao wala wasinyoe pembeni mwa ndevu zao au kuweka chale kwenye miili yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Kamwe makuhani wasinyoe nywele za vichwa vyao wala wasinyoe pembeni mwa ndevu zao, au kuweka chale kwenye miili yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wasijifanyie upara kichwani, wala wasinyoe pembe za ndevu zao, wala wasichanje chale katika miili yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wazawa wa Aroni kamwe wasijinyoe upara kuomboleza wala wasikate pembe za ndevu zao wala kujichanja chale mwilini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wasijinyoe vichwani kuwa wenye kipara, wala ndevu zao wasizikate pembenipembeni, wala wasijichore nembo miilini mwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wasijifanyie upaa kichwani, wala wasinyoe pembe za ndevu zao, wala wasichanje chale katika miili yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wazao wa Haruni wasijinyoe upaa kwa kuomboleza wala wasikate pembe za ndevu zao wala kujichanja chanjo juu ya mwili.