Leviticus 21:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa kuwa kuhani amewekwa wakfu kwa Mungu wake, kamwe asioe kahaba, wala mwanamke asiye bikira wala aliyepewa talaka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Kamwe wasioe wanawake waliojinajisi kwa ukahaba, au waliopewa talaka na waume wao, kwa sababu makuhani ni watakatifu kwa Mungu wao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wasimwoe mwanamke aliye kahaba, au huyo aliye mwenye unajisi; wala wasimwoe mwanamke aliyeachwa na mumewe; kwa kuwa yeye kuhani ni mtakatifu kwa Mungu wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa kuwa kuhani amewekwa wakfu kwa Mungu wake, kamwe asioe kahaba, wala mwanamke asiye bikira wala aliyepewa talaka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Kamwe wasioe wanawake waliojinajisi kwa ukahaba au waliopewa talaka na waume wao, kwa sababu makuhani ni watakatifu kwa Mungu wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Kamwe wasioe wanawake waliojinajisi kwa ukahaba, au waliopewa talaka na waume wao, kwa sababu makuhani ni watakatifu kwa Mungu wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wasimwoe mwanamke aliye kahaba, au huyo aliye mwenye unajisi; wala wasimwoe mwanamke aliyeachwa na mumewe; kwa kuwa yeye kuhani ni mtakatifu kwa Mungu wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa kuwa kuhani amewekwa wakfu kwa Mungu wake, kamwe asioe kahaba, wala mwanamke asiye bikira wala aliyepewa talaka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwanamke mgoni wasimchukue wala asiye mwenye macheo, wala mwanamke aliyefukuzwa na mumewe wasimchukue, kwani yeye ni mtakatifu wa Mungu wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wasimwoe mwanamke aliye kahaba, au huyo aliye mwenye unajisi; wala wasimwoe mwanamke aliyeachwa na mumewe; kwa kuwa yeye kuhani ni mtakatifu kwa Mungu wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa sababu kuhani ametakaswa kwa ajili ya Mungu wake, asioe kahaba wala mwanamuke asiyekuwa bikira wala aliyefukuzwa na mume wake.