Leviticus 22:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mtu asiye wa ukoo wa makuhani haruhusiwi kula chakula kitakatifu. Hata mgeni wa kuhani au mwajiriwa wake haruhusiwi kula.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Hakuna mtu yeyote asiye wa jamaa ya kuhani anayeruhusiwa kula sadaka takatifu, hata mgeni wa kuhani au mfanyakazi wake haruhusiwi kuila.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mgeni awaye yote asile katika kitu kitakatifu; mgeni wa kuhani akaaye kwake, au mtumishi aliyeajiriwa, asile katika kitu kitakatifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mtu asiye wa ukoo wa makuhani haruhusiwi kula chakula kitakatifu. Hata mgeni wa kuhani au mwajiriwa wake haruhusiwi kula.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Hakuna mtu ye yote asiye wa jamaa ya kuhani anayeruhusiwa kula sadaka takatifu, wala mgeni wa kuhani au mfanyakazi wake haruhusiwi kuila.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Hakuna mtu yeyote asiye wa jamaa ya kuhani anayeruhusiwa kula sadaka takatifu, hata mgeni wa kuhani au mfanyakazi wake haruhusiwi kuila.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mgeni yeyote asile katika kitu kitakatifu; mgeni wa kuhani akaaye kwake, au mtumishi aliyeajiriwa, asile katika kitu kitakatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mtu asiye wa ukoo wa makuhani haruhusiwi kula chakula kitakatifu. Hata mgeni wa kuhani au mwajiriwa wake haruhusiwi kula.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mgeni ye yote asile kilicho kitakatifu, wala mtu akaaye mwa mtambikaji wala amfanyiaye kazi ya mshahara asile kilicho kitakatifu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mgeni awaye yote asile katika kitu kitakatifu; mgeni wa kuhani akaaye kwake, au mtumishi aliyeajiriwa, asile katika kitu kitakatifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu asiyekuwa wa ukoo wa makuhani haruhusiwi kula chakula kitakatifu. Hata mugeni wa kuhani au mutumishi wake haruhusiwi kula.