Leviticus 22:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama binti yake kuhani ameolewa na mtu asiye kuhani, haruhusiwi kula sadaka ya vitu vitakatifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ikiwa binti ya kuhani ameolewa na mtu asiye kuhani, binti huyo haruhusiwi kula chochote cha matoleo matakatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na binti ya kuhani kwamba ameolewa na mgeni, asile katika sadaka ya kuinuliwa katika vitu vile vitakatifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama binti yake kuhani ameolewa na mtu asiye kuhani, haruhusiwi kula sadaka ya vitu vitakatifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ikiwa binti wa kuhani ameolewa na mtu asiye kuhani, binti huyo haruhusiwi kula cho chote cha matoleo matakatifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ikiwa binti wa kuhani ameolewa na mtu asiye kuhani, binti huyo haruhusiwi kula chochote cha matoleo matakatifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na binti ya kuhani ikiwa ameolewa na mgeni, asile katika sadaka ya kuinuliwa katika vitu vile vitakatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama binti yake kuhani ameolewa na mtu asiye kuhani, haruhusiwi kula sadaka ya vitu vitakatifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena binti mtambikaji akiolewa na mtu mgeni hana ruhusa kula vipaji vitakatifu vya kunyanyuliwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na binti ya kuhani kwamba ameolewa na mgeni, asile katika sadaka ya kuinuliwa katika vitu vile vitakatifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama binti ya kuhani ameolewa na mutu asiyekuwa kuhani, haruhusiwi kula sadaka ya vitu vitakatifu.