Leviticus 22:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuhani asivitie unajisi vitu ambavyo Waisraeli wamemtolea Mwenyezi-Mungu
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kamwe makuhani wasiinajisi sadaka takatifu ambayo Waisraeli wameitoa kwa Mwenyezi Mungu
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala wasivinajisi vitu vitakatifu vya wana wa Israeli, wavisongezavyo kwa Bwana;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuhani asivitie unajisi vitu ambavyo Waisraeli wamemtolea Mwenyezi-Mungu
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kamwe makuhani wasiinajisi sadaka takatifu ambayo Waisraeli wameitoa kwa BWANA
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kamwe makuhani wasiinajisi sadaka takatifu ambayo Waisraeli wameitoa kwa bwana
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala wasivinajisi vitu vitakatifu vya wana wa Israeli, wavisongezavyo kwa BWANA;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuhani asivitie unajisi vitu ambavyo Waisraeli wamemtolea Mwenyezi-Mungu
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watambikaji wasivichafue vipaji vitakatifu vya wana wa Isiraeli, wanavyomnyanyulia Bwana,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala wasivinajisi vitu vitakatifu vya wana wa Israeli, wavisongezavyo kwa BWANA;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuhani asichafue vitu ambavyo Waisraeli wamemutolea Yawe