Leviticus 22:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na hivyo kusababisha watu wawajibike uovu na hatia yao kwa kula vitu vyao vitakatifu. Mimi Mwenyezi-Mungu ndiye ninayeviweka wakfu vitu hivyo.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa kuwaruhusu kuzila sadaka hizo takatifu, na hivyo kuwaletea hatia ya kudaiwa malipo. Mimi ndimi Mwenyezi Mungu niwafanyaye watakatifu.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
hata wakawatwika ule uovu uletao hatia, hapo walapo vitu vyao vitakatifu; kwa kuwa mimi ndimi Bwana niwatakasaye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na hivyo kusababisha watu wawajibike uovu na hatia yao kwa kula vitu vyao vitakatifu. Mimi Mwenyezi-Mungu ndiye ninayeviweka wakfu vitu hivyo.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa kuwaruhusu kuzila sadaka hizo takatifu, na hivyo kuwaletea hatia ya kudaiwa malipo. Mimi ndimi BWANA niwafanyaye watakatifu.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa kuwaruhusu kuzila sadaka hizo takatifu, na hivyo kuwaletea hatia ya kudaiwa malipo. Mimi ndimi bwana niwafanyaye watakatifu.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
hata wakawatwika ule uovu uletao hatia, hapo walapo vitu vyao vitakatifu; kwa kuwa mimi ndimi BWANA niwatakasaye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na hivyo kusababisha watu wawajibike uovu na hatia yao kwa kula vitu vyao vitakatifu. Mimi Mwenyezi-Mungu ndiye ninayeviweka wakfu vitu hivyo.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
huku ni kwamba, wasiwakoseshe Waisraeli kukora manza za kula wenyewe vipaji vyao vitakatifu. Kwani mimi ni Bwana anayevitakasa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
hata wakawatwika ule uovu uletao hatia, hapo walapo vitu vyao vitakatifu; kwa kuwa mimi ndimi BWANA niwatakasaye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na hivyo kufanya watu wabebe sababu ya uovu na makosa yao kwa kula vitu vyao vitakatifu. Mimi Yawe ndiye ninayetakasa vitu hivyo.