Leviticus 22:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ili apate kukubalika, atatoa katika ng'ombe dume au katika kondoo dume asiye na dosari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
lazima amtoe mnyama dume asiye na dosari, akiwa ng’ombe, mbuzi au kondoo, ili aweze kukubalika kwa niaba yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ili mpate kukubaliwa, mtaleta mume mkamilifu, katika ng'ombe, au katika kondoo, au katika mbuzi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ili apate kukubalika, atatoa katika ng'ombe dume au katika kondoo dume asiye na dosari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
lazima mtoe mnyama dume asiye na dosari akiwa ng'ombe, mbuzi au kondoo ili kwamba aweze kukubalika kwa niaba yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
lazima mtoe mnyama dume asiye na dosari, akiwa ng’ombe, mbuzi au kondoo, ili aweze kukubalika kwa niaba yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ili mpate kukubaliwa, mtaleta dume mkamilifu, katika ng'ombe, au katika kondoo, au katika mbuzi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ili apate kukubalika, atatoa katika ng'ombe dume au katika kondoo dume asiye na dosari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ya kujipendezesha kwake, sharti iwe dume asiye na kilema, kama ni la ng'ombe au la kondoo au la mbuzi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ili mpate kukubaliwa, mtaleta mume mkamilifu, katika ng’ombe, au katika kondoo, au katika mbuzi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kusudi apate kukubalika, atatoa katika ngombe dume au katika kondoo beberu asiyekuwa na kilema.