Leviticus 22:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ni marufuku kutoa chochote kilicho na dosari kwani hakitakubaliwa kwa faida yenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kamwe usitoe kitu chochote chenye dosari kwa sababu hakitakubaliwa kwa niaba yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini mnyama ye yote aliye na kilema msimtoe; kwa kuwa hatakubaliwa kwa ajili yenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ni marufuku kutoa chochote kilicho na dosari kwani hakitakubaliwa kwa faida yenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kamwe usitoe kitu cho chote chenye dosari kwa sababu hakitakubaliwa kwa niaba yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kamwe usitoe kitu chochote chenye dosari kwa sababu hakitakubaliwa kwa niaba yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini mnyama yeyote aliye na kilema msimtoe; kwa kuwa hatakubaliwa kwa ajili yenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ni marufuku kutoa chochote kilicho na dosari kwani hakitakubaliwa kwa faida yenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kila nyama mwenye kilema msimtoe, kwani hatawapendezesha kwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini mnyama ye yote aliye na kilema msimtoe; kwa kuwa hatakubaliwa kwa ajili yenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Inakatazwa kutoa chochote kinachokuwa na kilema maana hakitakubaliwa kwa faida yenu.