Leviticus 22:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini usimchinje ng'ombe au kondoo siku moja pamoja na ndama wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usimchinje ng’ombe na ndama wake, au kondoo na kitoto chake siku moja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena kama ni ng'ombe, au kama ni kondoo, msimchinje huyo na mwanawe wote wawili kwa siku moja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini usimchinje ng'ombe au kondoo siku moja pamoja na ndama wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usimchinje ng'ombe na ndama wake, au kondoo na kitoto chake siku moja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usimchinje ng’ombe na ndama wake, au kondoo na kitoto chake siku moja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena kama ni ng'ombe, au kondoo, msimchinje huyo na mwanawe, wote wawili kwa siku moja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini usimchinje ng'ombe au kondoo siku moja pamoja na ndama wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini ng'ombe au kondoo msimchinje siku moja pamoja na mtoto wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena kama ni ng’ombe, au kama ni kondoo, msimchinje huyo na mwanawe wote wawili kwa siku moja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini usichinje ngombe au kondoo siku moja pamoja na kitoto chake.