Leviticus 22:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utakaponitolea mimi Mwenyezi-Mungu sadaka ya shukrani utaitoa kwa namna ambayo itakufanya ukubaliwe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Unapomtolea Mwenyezi Mungu dhabihu ya shukrani, itoe kwa namna ambayo itakubalika kwa niaba yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena mtakapomchinjia Bwana dhabihu ya shukrani, mtamchinja ili mpate kukubaliwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utakaponitolea mimi Mwenyezi-Mungu sadaka ya shukrani utaitoa kwa namna ambayo itakufanya ukubaliwe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Unapomtolea BWANA dhabihu ya shukrani, itoe kwa namna ambayo itakubalika kwa niaba yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Unapomtolea bwana dhabihu ya shukrani, itoe kwa namna ambayo itakubalika kwa niaba yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena mtakapomchinjia BWANA dhabihu ya shukrani, mtamchinja ili mpate kukubaliwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utakaponitolea mimi Mwenyezi-Mungu sadaka ya shukrani utaitoa kwa namna ambayo itakufanya ukubaliwe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mkimtolea Bwana ng'ombe ya tambiko ya kumtukuza, sharti mmchinje kwa njia itakayowapendezesha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena mtakapomchinjia BWANA dhabihu ya shukrani, mtamchinja ili mpate kukubaliwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utakaponitolea mimi Yawe sadaka ya shukrani utaitoa kwa namna ambayo itakufanya ukubaliwe.