Leviticus 22:30 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mnyama huyo ni lazima aliwe siku hiyohiyo; msimbakize mpaka kesho yake asubuhi. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni lazima iliwe siku hiyo hiyo, pasipo kubakiza chochote hadi asubuhi. Mimi ndimi Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Italiwa siku iyo hiyo; msisaze kitu chake hata asubuhi; mimi ndimi Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mnyama huyo ni lazima aliwe siku hiyohiyo; msimbakize mpaka kesho yake asubuhi. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni lazima iliwe siku iyo hiyo, pasipo kubakiza cho chote mpaka asubuhi. Mimi ndimi BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni lazima iliwe siku iyo hiyo, pasipo kubakiza chochote mpaka asubuhi. Mimi ndimi bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Italiwa siku hiyo hiyo; msisaze kitu chake hata asubuhi; mimi ndimi BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mnyama huyo ni lazima aliwe siku hiyohiyo; msimbakize mpaka kesho yake asubuhi. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sharti aliwe siku iyo hiyo, msisaze hata kidogo mpaka kesho. Mimi ni Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Italiwa siku iyo hiyo; msisaze kitu chake hata asubuhi; mimi ndimi BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyama huyo ni lazima akuliwe siku hiyohiyo. Musiache kitu mpaka kesho yake asubui. Mimi ni Yawe.