Leviticus 22:31 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kwa hiyo mtazishika na kuzitekeleza amri zangu. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Shikeni maagizo yangu na kuyafuata. Mimi ndimi Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa hiyo mtayashika maagizo yangu, na kuyafanya; mimi ndimi Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kwa hiyo mtazishika na kuzitekeleza amri zangu. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Shikeni maagizo yangu na kuyafuata. Mimi ndimi BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Shikeni maagizo yangu na kuyafuata. Mimi ndimi bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa hiyo mtayashika maagizo yangu, na kuyafanya; mimi ndimi BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kwa hiyo mtazishika na kuzitekeleza amri zangu. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yaangalieni maagizo yangu, myafanye! Mimi ni Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa hiyo mtayashika maagizo yangu, na kuyafanya; mimi ndimi BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo mutashika na kutimiza amri zangu. Mimi ni Yawe.