Leviticus 22:32 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msilikufuru jina langu takatifu, kwani ni lazima niheshimiwe miongoni mwa watu wa Israeli. Mimi Mwenyezi-Mungu ndiye ninayewaweka wakfu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msilinajisi Jina langu takatifu. Lazima nikubalike kuwa mtakatifu kwa Waisraeli. Mimi ndimi Mwenyezi Mungu ninayewafanya watakatifu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala msilinajisi jina langu takatifu; lakini nitatakaswa mimi katika wana wa Israeli; mimi ndimi Bwana niwatakasaye ninyi,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msilikufuru jina langu takatifu, kwani ni lazima niheshimiwe miongoni mwa watu wa Israeli. Mimi Mwenyezi-Mungu ndiye ninayewaweka wakfu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msilinajisi Jina langu takatifu. Lazima nikubalike kuwa mtakatifu kwa Waisraeli. Mimi ndimi BWANA ninayewafanya watakatifu
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msilinajisi Jina langu takatifu. Lazima nikubalike kuwa mtakatifu kwa Waisraeli. Mimi ndimi bwana ninayewafanya watakatifu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala msilinajisi jina langu takatifu; lakini nitatakaswa mimi katika wana wa Israeli; mimi ndimi BWANA niwatakasaye ninyi,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msilikufuru jina langu takatifu, kwani ni lazima niheshimiwe miongoni mwa watu wa Israeli. Mimi Mwenyezi-Mungu ndiye ninayewaweka wakfu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Msilichafue Jina langu takatifu, nipate kutakaswa katikati yao wana wa Isiraeli. Mimi ni Bwana anayewatakasa ninyi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala msilinajisi jina langu takatifu; lakini nitatakaswa mimi katika wana wa Israeli; mimi ndimi BWANA niwatakasaye ninyi,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musichafue jina langu takatifu, maana ni lazima niheshimiwe kati ya watu wa Israeli. Mimi Yawe ndiye ninayewatakasa.