Leviticus 22:33 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi ndimi niliyewatoa nchini Misri ili niwe Mungu wenu. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na niliyewatoa katika nchi ya Misri niwe Mungu wenu. Mimi ndimi Mwenyezi Mungu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
niliyewaleta mtoke nchi ya Misri, ili niwe Mungu wenu; mimi ndimi Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi ndimi niliyewatoa nchini Misri ili niwe Mungu wenu. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na niliyewatoa katika nchi ya Misri niwe Mungu wenu. Mimi ndimi BWANA.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na niliyewatoa katika nchi ya Misri niwe Mungu wenu. Mimi ndimi bwana.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
niliyewaleta mtoke nchi ya Misri, ili niwe Mungu wenu; mimi ndimi BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi ndimi niliyewatoa nchini Misri ili niwe Mungu wenu. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Niliwatoa ninyi katika nchi ya Misri, niwe Mungu wenu, mimi Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
niliyewaleta mtoke nchi ya Misri, ili niwe Mungu wenu; mimi ndimi BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni mimi niliyewatoa katika inchi ya Misri kusudi nikuwe Mungu wenu. Mimi ni Yawe.