Leviticus 22:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
au akigusa kiumbe chochote chenye kutambaa ambacho husababisha mtu kuwa najisi au mtu ambaye aweza kumtia unajisi wa aina yoyote ile,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
au akigusa kitu chochote kinachotambaa kimfanyacho mtu najisi, au mtu yeyote awezaye kumtia unajisi, hata unajisi uwe gani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
au mtu amgusaye mnyama atambaaye, wa kumpatia unajisi, au kwamba amgusa mtu wa kumpatia unajisi, kwa unajisi wo wote alio nao;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
au akigusa kiumbe chochote chenye kutambaa ambacho husababisha mtu kuwa najisi au mtu ambaye aweza kumtia unajisi wa aina yoyote ile,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
au ikiwa atagusa kitu cho chote kitambaacho hicho kimfanyacho mtu najisi, au mtu ye yote awezaye kumtia unajisi, unajisi uwao wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
au ikiwa atagusa kitu chochote kitambaacho kimfanyacho mtu najisi, au mtu yeyote awezaye kumtia unajisi, hata unajisi uwe gani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
au mtu amgusaye mnyama atambaaye, wa kumpatia unajisi, au kwamba amgusa mtu wa kumpatia unajisi, kwa unajisi wowote ule alio nao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
au akigusa kiumbe chochote chenye kutambaa ambacho husababisha mtu kuwa najisi au mtu ambaye aweza kumtia unajisi wa aina yoyote ile,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
au mtu atakayegusa dudu ye yote wa kumpatia uchafu au atakayegusa mtu wa kumpatia uchafu kwa kuwa mwenye uchafu wo wote,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
au mtu amgusaye mnyama atambaaye, wa kumpatia unajisi, au kwamba amgusa mtu wa kumpatia unajisi, kwa unajisi wo wote alio nao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
au akigusa kiumbe chochote chenye kutambaa ambacho kinamufanya mutu kuwa muchafu au mutu ambaye anaweza kumuchafua wa aina yoyote,