Leviticus 22:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mtu huyo, atakuwa najisi mpaka jioni na haruhusiwi kula vyakula vitakatifu mpaka hapo atakapokuwa ameoga.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu anayegusa kitu chochote cha aina hiyo atakuwa najisi hadi jioni. Kamwe hatakula sadaka yoyote takatifu hadi yeye mwenyewe awe ameoga kwa maji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
huyo mtu atakayegusa kitu cho chote namna hiyo atakuwa najisi hata jioni, naye hatakula katika vitu vitakatifu, asipooga mwili wake majini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mtu huyo, atakuwa najisi mpaka jioni na haruhusiwi kula vyakula vitakatifu mpaka hapo atakapokuwa ameoga.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtu anayegusa kitu cho chote cha aina hiyo atakuwa najisi mpaka jioni. Kamwe hatakula sadaka yo yote takatifu mpaka yeye mwenyewe awe ameoga kwa maji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtu anayegusa kitu chochote cha aina hiyo atakuwa najisi mpaka jioni. Kamwe hatakula sadaka yoyote takatifu mpaka yeye mwenyewe awe ameoga kwa maji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
huyo mtu atakayegusa kitu chochote namna hiyo atakuwa najisi hata jioni, naye hatakula katika vitu vitakatifu, asipooga mwili wake majini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mtu huyo, atakuwa najisi mpaka jioni na haruhusiwi kula vyakula vitakatifu mpaka hapo atakapokuwa ameoga.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
basi, atakayegusa cho chote kilicho hivyo ni mwenye uchafu mpaka jioni, kisha asile vitakatifu, asipokuw ameuogesha mwili wake majini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
huyo mtu atakayegusa kitu cho chote namna hiyo atakuwa najisi hata jioni, naye hatakula katika vitu vitakatifu, asipooga mwili wake majini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mutu huyu, atakuwa muchafu mpaka magaribi na haruhusiwi kula vyakula vitakatifu mpaka pale atakapokuwa ameoga.