Leviticus 22:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jua litakapotua ndipo atakapokuwa safi. Baada ya hapo ataweza kula vyakula vitakatifu kwani hicho ndicho chakula chake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jua linapotua, atakuwa safi, na baadaye anaweza kula sadaka takatifu, kwa kuwa ni vyakula vyake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jua likiisha kuchwa atakuwa safi; kisha baadaye atakula katika vitu vitakatifu, maana ni chakula chake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jua litakapotua ndipo atakapokuwa safi. Baada ya hapo ataweza kula vyakula vitakatifu kwani hicho ndicho chakula chake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati jua linapotua, atakuwa safi na baada ya hilo anaweza kula sadaka takatifu, kwa kuwa ni vyakula vyake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati jua linapotua, atakuwa safi, na baadaye anaweza kula sadaka takatifu, kwa kuwa ni vyakula vyake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jua likiisha kuchwa atakuwa safi; kisha baadaye atakula katika vitu vitakatifu, maana ni chakula chake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jua litakapotua ndipo atakapokuwa safi. Baada ya hapo ataweza kula vyakula vitakatifu kwani hicho ndicho chakula chake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jua likiisha kuchwa, atakuwa mwenye kutakata; ndipo, atakapoweza kula vitakatifu, kwani ndio chakula chake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jua likiisha kuchwa atakuwa safi; kisha baadaye atakula katika vitu vitakatifu, maana ni chakula chake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Jua litakapotua ndipo atakapokuwa safi. Nyuma ya pale ataweza kula vyakula vitakatifu maana hicho ndicho chakula chake.