Leviticus 23:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuhani atafanya nayo ishara ya kunitolea siku inayofuata siku ya Sabato ili mpate kukubaliwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye atauinua huo mganda mbele za Mwenyezi Mungu ili ukubaliwe kwa niaba yenu; kuhani ataupunga siku inayofuata Sabato.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
naye atautikisa mganda mbele za Bwana ili kwamba ukubaliwe kwa ajili yenu; siku ya pili baada ya Sabato kuhani atautikisa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuhani atafanya nayo ishara ya kunitolea siku inayofuata siku ya Sabato ili mpate kukubaliwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye atauinua huo mganda mbele za BWANA ili ukubaliwe kwa niaba yenu; kuhani ataupunga siku inayofuata Sabato.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye atauinua huo mganda mbele za bwana ili ukubaliwe kwa niaba yenu; kuhani ataupunga siku inayofuata Sabato.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
naye atautikisa mganda mbele za BWANA ili kwamba ukubaliwe kwa ajili yenu; siku ya pili baada ya Sabato kuhani atautikisa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuhani atafanya nayo ishara ya kunitolea siku inayofuata siku ya Sabato ili mpate kukubaliwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye aupitishe motoni huo mganda mbele ya Bwana, uwapendezeshe kwake. Kesho yake siku ya mapumziko ndipo mtambikaji aupitishe motoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
naye atautikisa mganda mbele za BWANA ili kwamba ukubaliwe kwa ajili yenu; siku ya pili baada ya Sabato kuhani atautikisa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuhani atafanya nayo kitambulisho cha kunitolea siku inayofuata siku ya Sabato kusudi mupate kukubaliwa.