Leviticus 23:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtatoa beberu mmoja wa sadaka ya kuondoa dhambi na wanakondoo madume wawili wa mwaka mmoja kwa ajili ya sadaka za amani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha toeni dhabihu ya beberu mmoja kwa ajili ya sadaka ya dhambi, na wana-kondoo wawili, kila mmoja wa mwaka mmoja, kwa ajili ya sadaka ya amani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nanyi mtasongeza mbuzi mume mmoja kuwa sadaka ya dhambi, na wana-kondoo wawili waume wa mwaka wa kwanza kuwa dhabihu ya sadaka za amani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtatoa beberu mmoja wa sadaka ya kuondoa dhambi na wanakondoo madume wawili wa mwaka mmoja kwa ajili ya sadaka za amani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha toeni dhabihu mbuzi dume mmoja kwa ajili ya sadaka ya dhambi, na wana-kondoo wawili kila mmoja wa mwaka mmoja, kwa ajili ya sadaka ya amani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha toeni dhabihu ya mbuzi dume mmoja kwa ajili ya sadaka ya dhambi, na wana-kondoo wawili, kila mmoja wa mwaka mmoja, kwa ajili ya sadaka ya amani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nanyi mtasongeza mbuzi dume mmoja kuwa sadaka ya dhambi, na wana-kondoo dume wa mwaka mmoja wawili, kuwa dhabihu ya sadaka za amani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtatoa beberu mmoja wa sadaka ya kuondoa dhambi na wanakondoo madume wawili wa mwaka mmoja kwa ajili ya sadaka za amani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha sharti mtengeneze dume moja la mbuzi kuwa ng'ombe ya tambiko ya weuo na wana kondoo wawili wa mwaka mmoja kuwa ng'ombe za tambiko za shukrani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nanyi mtasongeza mbuzi mume mmoja kuwa sadaka ya dhambi, na wana-kondoo wawili waume wa mwaka wa kwanza kuwa dhabihu ya sadaka za amani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutatoa beberu mumoja wa sadaka kwa ajili ya zambi na wana-kondoo dume wawili wa mwaka mumoja kwa ajili ya sadaka za amani.