Leviticus 23:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuhani atavipitisha mbele yangu mimi Mwenyezi-Mungu viwe sadaka ya kutoa kwa ishara pamoja na mkate wa mavuno ya kwanza na wale wanakondoo wawili. Vitu hivyo ni vitakatifu kwa Mwenyezi-Mungu navyo vitakuwa kwa matumizi ya kuhani tu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuhani atawainua hao wana-kondoo wawili mbele za Mwenyezi Mungu kuwa sadaka ya kuinuliwa, pamoja na mkate wa malimbuko. Ni sadaka takatifu kwa Mwenyezi Mungu kwa ajili ya kuhani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha kuhani atawatikisa pamoja na hiyo mikate ya malimbuko kuwa sadaka ya kutikiswa mbele za Bwana, pamoja na wale wana-kondoo wawili; watakuwa watakatifu kwa Bwana, wawe wa huyo kuhani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuhani atavipitisha mbele yangu mimi Mwenyezi-Mungu viwe sadaka ya kutoa kwa ishara pamoja na mkate wa mavuno ya kwanza na wale wanakondoo wawili. Vitu hivyo ni vitakatifu kwa Mwenyezi-Mungu navyo vitakuwa kwa matumizi ya kuhani tu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuhani atawainua hao wana-kondoo wawili mbele za BWANA kuwa sadaka ya kuinuliwa, pamoja na mkate wa malimbuko. Ni sadaka takatifu kwa BWANA kwa ajili ya kuhani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuhani atawainua hao wana-kondoo wawili mbele za bwana kuwa sadaka ya kuinuliwa, pamoja na mkate wa malimbuko. Ni sadaka takatifu kwa bwana kwa ajili ya kuhani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha kuhani atawatikisa pamoja na hiyo mikate ya malimbuko kuwa sadaka ya kutikiswa mbele za BWANA, pamoja na wale wana-kondoo wawili; watakuwa watakatifu kwa BWANA, wawe wa huyo kuhani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuhani atavipitisha mbele yangu mimi Mwenyezi-Mungu viwe sadaka ya kutoa kwa ishara pamoja na mkate wa mavuno ya kwanza na wale wanakondoo wawili. Vitu hivyo ni vitakatifu kwa Mwenyezi-Mungu navyo vitakuwa kwa matumizi ya kuhani tu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha mtambikaji awapitishe motoni pamoja na hiyo mikate ya malimbuko kuwa kipaji cha kupitishwa motoni mbele ya Bwana pamoja na hawa wana kondoo wawili; kwa kuwa hawa ni watakatifu wa Bwana, watakuwa mali za watambikaji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha kuhani atawatikisa pamoja na hiyo mikate ya malimbuko kuwa sadaka ya kutikiswa mbele za BWANA, pamoja na wale wana-kondoo wawili; watakuwa watakatifu kwa BWANA, wawe wa huyo kuhani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuhani atavipitisha mbele yangu mimi Yawe vikuwe sadaka ya kutoa kwa kitambulisho pamoja na mukate wa mavuno ya kwanza na wale wana-kondoo wawili. Vitu hivyo ni vitakatifu kwa Yawe navyo vitakuwa kwa matumizi ya kuhani tu.