Leviticus 23:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msifanye kazi siku hiyo na ni lazima mnitolee mimi Mwenyezi-Mungu sadaka ya kuteketezwa kwa moto.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msifanye kazi zenu zozote za kawaida, lakini toeni sadaka kwa Mwenyezi Mungu iliyoteketezwa kwa moto.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Msifanye kazi yo yote ya utumishi; nanyi mtasongeza sadaka kwa Bwana kwa njia ya moto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msifanye kazi siku hiyo na ni lazima mnitolee mimi Mwenyezi-Mungu sadaka ya kuteketezwa kwa moto.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msifanye kazi zenu zo zote za kawaida, lakini toeni sadaka kwa BWANA iliyoteketezwa kwa moto.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msifanye kazi zenu zozote za kawaida, lakini toeni sadaka kwa bwana iliyoteketezwa kwa moto.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Msifanye kazi yoyote ya utumishi; nanyi mtasongeza sadaka kwa BWANA kwa njia ya moto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msifanye kazi siku hiyo na ni lazima mnitolee mimi Mwenyezi-Mungu sadaka ya kuteketezwa kwa moto.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Msifanye kazi yo yote ya utumishi, ila mmtolee Bwana ng'ombe za tambiko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Msifanye kazi yo yote ya utumishi; nanyi mtasongeza sadaka kwa BWANA kwa njia ya moto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musifanye kazi siku hiyo na munitolee mimi Yawe sadaka ya kuteketezwa kwa moto.