Leviticus 23:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu yeyote asiyefunga siku hiyo ni lazima atengwe mbali na watu wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu ambaye hatafunga siku hiyo ni lazima akatiliwe mbali na watu wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa mtu awaye yote asiyejitesa mwenyewe siku iyo hiyo, atakatiliwa mbali na watu wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu yeyote asiyefunga siku hiyo ni lazima atengwe mbali na watu wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtu ye yote ambaye hatafunga siku hiyo ni lazima akatiliwe mbali na watu wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtu yeyote ambaye hatafunga siku hiyo ni lazima akatiliwe mbali na watu wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa mtu yeyote asiyejinyima siku hiyo hiyo, atatengwa na watu wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu yeyote asiyefunga siku hiyo ni lazima atengwe mbali na watu wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kila asiyejitesa mwenyewe kwa kufunga siku hiyohiyo atang'olewa kwao walio ukoo wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa mtu awaye yote asiyejitesa mwenyewe siku iyo hiyo, atakatiliwa mbali na watu wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu yeyote asiyefunga kula siku hiyo ni lazima atengwe mbali na watu wake.