Leviticus 23:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu yeyote atakayefanya kazi yoyote siku hiyo nitamwangamiza miongoni mwa watu wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu atakayefanya kazi siku hiyo nitamwangamiza kutoka miongoni mwa watu wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mtu ye yote afanyaye kazi ya namna yo yote siku hiyo, mtu huyo nitamwangamiza atoke katika watu wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu yeyote atakayefanya kazi yoyote siku hiyo nitamwangamiza miongoni mwa watu wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtu ye yote atakayefanya kazi siku hiyo nitamwangamiza kutoka miongoni mwa watu wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtu yeyote atakayefanya kazi siku hiyo nitamwangamiza kutoka miongoni mwa watu wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mtu yeyote afanyaye kazi ya namna yoyote siku hiyo, mtu huyo nitamwangamiza atoke katika watu wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu yeyote atakayefanya kazi yoyote siku hiyo nitamwangamiza miongoni mwa watu wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye kila atakayefanya kazi yo yote siku hiyohiyo nitamwangamiza kabisa, atoweke katikati yao walio ukoo wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mtu ye yote afanyaye kazi ya namna yo yote siku hiyo, mtu huyo nitamwangamiza atoke katika watu wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu yeyote atakayefanya kazi yoyote siku hiyo nitamwangamiza kutoka watu wake.