Leviticus 23:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msifanye kazi: Hili ni sharti la kufuata milele katika vizazi vyenu, na katika makao yenu yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hamtafanya kazi kamwe. Hili litakuwa agizo la kudumu kwa vizazi vijavyo popote mnapoishi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Msifanye kazi ya namna yo yote; ni amri ya milele katika vizazi vyenu, katika makao yenu yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msifanye kazi: hili ni sharti la kufuata milele katika vizazi vyenu, na katika makao yenu yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hamtafanya kazi kamwe. Hili litakuwa agizo la kudumu kwa vizazi vijavyo po pote mnapoishi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hamtafanya kazi kamwe. Hili litakuwa agizo la kudumu kwa vizazi vijavyo popote mnapoishi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Msifanye kazi ya namna yoyote; ni amri ya milele katika vizazi vyenu, katika makao yenu yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msifanye kazi: Hili ni sharti la kufuata milele katika vizazi vyenu, na katika makao yenu yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo msifanye kazi yo yote. Maongozi haya na yawe ya kale na kale kwa vizazi vyenu po pote, mtakapokaa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Msifanye kazi ya namna yo yote; ni amri ya milele katika vizazi vyenu, katika makao yenu yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musifanye kazi: hili ni sharti la kufuata siku zote katika vizazi vyenu, na katika makao yenu yote.