Leviticus 23:35 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku ya kwanza ya siku hizo saba, mtakuwa na mkutano mtakatifu na msifanye kazi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku ya kwanza ni kusanyiko takatifu, msifanye kazi zenu za kawaida.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku ya kwanza kutakuwa na kusanyiko takatifu; msifanye kazi yo yote ya utumishi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku ya kwanza ya siku hizo saba, mtakuwa na mkutano mtakatifu na msifanye kazi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku ya kwanza ni kusanyiko takatifu, msifanye kazi zenu za kawaida.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku ya kwanza ni kusanyiko takatifu, msifanye kazi zenu za kawaida.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku ya kwanza kutakuwa na kusanyiko takatifu; msifanye kazi yoyote ya utumishi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku ya kwanza ya siku hizo saba, mtakuwa na mkutano mtakatifu na msifanye kazi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku ya kwanza na mkutanie Patakatifu, msifanye kazi yo yote ya utumishi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku ya kwanza kutakuwa na kusanyiko takatifu; msifanye kazi yo yote ya utumishi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku ya kwanza ya siku hizo saba, mutakuwa na mukutano mutakatifu na musifanye kazi.