Leviticus 23:38 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sadaka hizo ni pamoja na zile mnazonitolea mimi Mwenyezi-Mungu siku ya Sabato kama vile pia sadaka zenu za kawaida, sadaka za kutimiza nadhiri zenu, na sadaka zenu za hiari mnazonitolea mimi Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sadaka hizi ni nyongeza ya zile mnazozitoa katika Sabato za Mwenyezi Mungu, na pia ni nyongeza ya matoleo yenu ya chochote mlichoweka nadhiri, na sadaka zenu zote za hiari mnazozitoa kwa Mwenyezi Mungu.)
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
zaidi ya hizo Sabato za Bwana, na zaidi ya matoleo yenu, na zaidi ya hizo nadhiri zenu zote, na zaidi ya sadaka zenu za hiari, ambazo mwampa Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sadaka hizo ni pamoja na zile mnazonitolea mimi Mwenyezi-Mungu siku ya Sabato kama vile pia sadaka zenu za kawaida, sadaka za kutimiza nadhiri zenu, na sadaka zenu za hiari mnazonitolea mimi Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sadaka hizi ni nyongeza ya zile mnazozitoa katika Sabato za BWANA, na pia ni nyongeza ya matoleo yenu ya cho chote mlichoweka nadhiri, na sadaka zenu zote za hiari mnazozitoa kwa BWANA.)
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sadaka hizi ni nyongeza ya zile mnazozitoa katika Sabato za bwana, na pia ni nyongeza ya matoleo yenu ya chochote mlichoweka nadhiri, na sadaka zenu zote za hiari mnazozitoa kwa bwana.)
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
zaidi ya hizo Sabato za BWANA, na zaidi ya matoleo yenu, na zaidi ya hizo nadhiri zenu zote, na zaidi ya sadaka zenu za hiari, ambazo mwampa BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sadaka hizo ni pamoja na zile mnazonitolea mimi Mwenyezi-Mungu siku ya Sabato kama vile pia sadaka zenu za kawaida, sadaka za kutimiza nadhiri zenu, na sadaka zenu za hiari mnazonitolea mimi Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini tena ziko siku za mapumziko za Bwana na vipaji, mnavyovitoa wenyewe, hata vipaji, mnavyovitoa kwa kuyalipa mliyoyaapa, na vipaji vinginevingine, mnavyomtolea Bwana kwa kupendezwa mioyoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
zaidi ya hizo Sabato za BWANA, na zaidi ya matoleo yenu, na zaidi ya hizo nadhiri zenu zote, na zaidi ya sadaka zenu za hiari, ambazo mwampa BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sadaka hizo ni pamoja na zile munazonitolea mimi Yawe siku ya Sabato kama vile na sadaka zenu za kawaida, sadaka za kutimiza viapo vyenu, na sadaka zenu za mapenzi munazonitolea mimi Yawe.