Leviticus 23:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Sikukuu zangu nyingine mimi Mwenyezi-Mungu ambazo mtakuwa na mkutano mtakatifu zitafanyika katika nyakati zifuatazo zilizopangwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Hizi ni sikukuu za Mwenyezi Mungu zilizoamriwa, makusanyiko matakatifu mtakayoyatangaza kwa nyakati zilizoamriwa:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sikukuu za Bwana ni hizi, ni makusanyiko matakatifu, ambayo mtayapigia mbiu kwa nyakati zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Sikukuu zangu nyingine mimi Mwenyezi-Mungu ambazo mtakuwa na mkutano mtakatifu zitafanyika katika nyakati zifuatazo zilizopangwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Hizi ni sikukuu za BWANA zilizoamuriwa, makusanyiko matakatifu mtakayoyatangaza kwa nyakati zilizoamuriwa:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Hizi ni sikukuu za bwana zilizoamriwa, makusanyiko matakatifu mtakayoyatangaza kwa nyakati zilizoamriwa:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sikukuu za BWANA ni hizi, ni makusanyiko matakatifu, ambayo mtayatangaza kwa nyakati zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Sikukuu zangu nyingine mimi Mwenyezi-Mungu ambazo mtakuwa na mkutano mtakatifu zitafanyika katika nyakati zifuatazo zilizopangwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hizi ndizo sikukuu za Bwana za kukutania Patakatifu, nanyi sharti mzitangaze, siku zao zilizowekwa zitakapotimia:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sikukuu za BWANA ni hizi, ni makusanyiko matakatifu, ambayo mtayapigia mbiu kwa nyakati zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sikukuu zingine zangu mimi Yawe ambazo mutakuwa na mukutano mutakatifu zitafanyika katika wakati huu uliopangwa.